Tuesday, November 24, 2015

BONGO MOVIE TANZANIA;SABABU ZA AUNT EZEKIEL KUMUACHISHA ZIWA MWANAE KABLA YA MUDA

Msanii wa Filamu hapa nchini, ambaye amepata bahati ya kupata mtoto na dancer wa msanii Diamond Plutnumz anae tambulika kwa jina la Mose Iyobo, Aunt amefunguka na kueleza kilichopelekea kumuachisha ziwa mtoto wake anae fahamika kwa jina la Cookie
Akieleza kinagaubaga kuhusu suala hilo Aunt EZekiel amesema, kipindi cha kampeni alikuwa anatembelea maeneo mbalimbali jambo lililopelekea kuwa mbali na mtoto wake, alivyomaliza shughuli za kampeni alishauriwa kumuachisha mwanae kutokana na maziwa yake kutotosheleza kumnyonyesha mtoto wake.

Author:

0 comments: