Picha za Wema Sepetu na Idriss Wakiwa kitandani asubuhi ya leo
zimesambaa katika mitandao ikiwa ni siku moja tu baada ya Idriss kuweka
wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kuwa wanakaribia kupata mtoto...
Mashabiki wa couple hiyo inayoongelewa zaidi kwa sasa wametoa maoni yako katika picha hizo, hapa nimekuwekea baadhi ya maoni;
tamia_ismail
@zara_elia u u gat the point,l lov ths lady ila apo tu ndo anaponiudhi ...she like to expose evrythin i wsh she cn lern to keep othr things fr herself wala asingekua midomon mwa watu..anyway evry one has got a weaknes
sy_salum_y_madai
Wewe idrus chaliloo ukija machimboni R chugga lazima tukuwekechini...maan kweli... Ustaa wa gafla unakuzingua maan wakati tumetoka mbali Manzi yako umemwacha bonge lakisu unaenda Pambana na makonkodi maan... Dah unazingua maan
team.watafutaji
Kila mwanaume anamtimia wema kwa manufaa yake na kujipatia umaarufu
pcolour543
Tushazoea huyo dada na hzo picha.. Sio ajabu
zara_elia
Ila jamani vitu vingine wema angekuwa havionyeshi sasa kila mwanaume anayekutana nae asubui jion kitandani picha haipendezi jamani..angekuwa anasubiri hadi aone uhusiano ukikomaa japo
violetmoshi
@nchinyavu Unajua Sina Team Hapa Ila Unajua ukiwa Kwenye Sanaa Ni bora uexpose kazi yako Na Maisha yako private yawe Ni Siri yako! Nampenda sana Shaa, Kiukweli natamani Wasanii wote Wafuate mienendo yake Na Ndio maana humsikii akisemwa Ovyo, Unadhani hana kasoro au scandal?! No anayo maana Na yeye Ni Binaadam lkn Kwa Kuwa Kwenye social media tunaona habari Za Shaa Na hatuoni habari Za Sarah Kaisi Wala kuzijua! Nadhan anatumia njia nzuri ya Kimaisha Na si Kama hawa wengine kutwaaaa mitandaoni na private life Zao mwishowe tuna kujua nyumbani Hadi mwilini Mpaka vinyweleo Na makovu uliyonayo!
mwacityhamis
Team @DNA mkilala mwalala na makeup mwamuona mwenzenu alivyo mzuri bila makeup akaaaa nipishe mieeeee
guga_ii
Subiria uzimalize za bba ndo utajutraaaa