Wednesday, November 25, 2015

MFAHAMU STAA WA JUMONG..SONG II GOOK.




Wengi wanamfahamu kama jumong au Peter pan katika tamthilia ya A MAN CALLED GOD.Anaitwa SONG II GOOK kitukuu wa kiongozi wa waapigania uhuru wa korea kusini.alizaliwa mwaka 1971 mosi oktoba.mama yake pia alikuwa mwigizaji. 
Ni muhitimu wa elimu ya juu katika chuo kikuu cha cheongju university katika masomo ya sanaa.MWAKA 2008 alifunga ndoa na asubuhi ya tarehe 26 mwezi wa tatu 2012 mkewe alijifungua watoto watatu.aliwaita majina ya DAE HAN,MIN GUK na MAN SE ambayo ukiyatamka kwa pamoja humaanisha MAISHA MAREFU KWA JAMHURI YA KOREA.Kwa sasa yeye na familia yake wanaonekana kwenye tamthilia ya THE RETURN OF SUPER MAN.mwaka 2004 aliigiza empor of the sea,2006 alicheza jumong,2008 ni land of wind na 2010 ni  A MAN CALLED GOD.

HAPA CHINI NI LIST YA TAMTHILIA ALIZOCHEZA
Filmography
TV series
Year
Title
Role
Network
1999


MBC
Into the Sunlight

MBC
2000

MBC
2002
Hard Love
Na Young-jae
Jang Hui-bin
Kim Chun-taek
KBS2
Album of Life
Shin Hyung-shik
2003
Han Sung-soo
KBS2
Desert Spring
Ki-hyun
MBC
2004
People of the Water Flower Village
Kang Sung-woo
MBC
Terms of Endearment
Na Jang-soo
KBS1
Yeom Moon/Yeom Jang
KBS2
2006
Jumong, later King Dongmyeong
MBC
2007
Harry/Kim Joo-ho
2008
Prince Muhyul, later King Daemusin
KBS2
2010
Michael King/Choi Kang-ta
MBC
2011
Park Sae-hyuk
KBS2
Ki Ho-tae
Film
Year
Title
Role
2005
Seo Min-jun

2014
Tattooist
Murderer Han Ji-soon
Entangled
Hyun Ki-jeung
Variety show
Year
Title
Network
Role
2014
Series regular
Awards
Year
Award
Category
Nominated Work
2002
Best New Actor
Album of Life
2004
Best Couple Award (With Han Ga-in)
Terms of Endearment
2005
Excellence Award, Actor
Popularity Award, Actor
Best Couple Award (With Soo Ae)
2005
Right Language Award
2006
Top Excellence Award, Actor
Jumong
2006
14th

Jumong
2006
Grand Prize/Daesang
Jumong
Best TV Actor
2007
19th Korea Producer's Awards
Best TV Actor (Jumong)
Jumong
2007
Commendation from the Prime Minister

2008
Top Excellence Award, Actor
Best Couple Award (With Choi Jung-won)
2009
Asia Model Festival Awards
Asia Star Awards

2011
2nd Republic of Korea Popular Culture and Arts Awards
Commendation from the Minister of Culture, Sports and Tourism

2012
Goodwill Cooperation Service (GCS):
Award for Service Towards World Peace, Celebrities Who Serve category

2013
2nd Historical Drama Festival
Historical Drama Star Who's Brightened Korea
2014
Special PD Award

Author:

0 comments: