Tuesday, January 26, 2016

VIONGOZI UKAWA WAMSIFU MH. BENARD MEMBE KWA KUMCHAMBUA MAGUFULI NA WAMKARIBISHA

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amesema uchambuzi uliofanywa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe dhidi ya Serikali ya Rais John Magufuli ulipaswa kutolewa na mpinzani.
Akizungumza katika ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL) Tabata jiji hapa jana, Jacob alimshauri Membe kuhamia upinzani kama alivyofanya Kingunge Ngombale Mwiru na makada wengine wa CCM ili aeleweke zaidi..................................................

Author: