Pamoja na kuondolewa kwa mbunge huyo, Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni ofisa tawala wa wilaya, Yahya Nania alilazimika kuahirisha kikao kwa muda usiojulikana baada ya kushindwa kuwaapisha madiwani kwa sababu ya vurugu
Mpambano
wa madaraka kati ya Ukawa na CCM, umehamia katika halmashauri ya wilaya
ya Kilombero na kusababisha mbunge wa Jimbo hilo, Peter Lijualikali
(Chadema) kuondolewa na polisi katika kikao hich.o
mwananchi.co.tz