Hakika kuna mengi ya kujivunia katika maisha yake,ametoka kwenye umaskini na sasa ni tajiri..cheki hapo chini picha hizo
akiwa msanii bora zaidi afrika mashariki na kati,diamond katika ubora wake.
ni juzi tu katoka kupokea tuzo tatu kwa mpigo na sasa ansubiri ushindi mwingine.maisha ni kujipanga na kujituma.juhudi zake zipo wazi.
0 comments: