Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Ndauka alikanusha kuwahi kuwa na uhusiano na rapper huyo.
“Kuna siku nilikuwa kwa Diamond, Mama Kayla alikuwepo, kwahiyo akawa amenifuata kunisalimia, Dareen akawa ananiambia umemuona ‘mama Kayla?’ Nikamwambia yupo wapi? akaniambia ndio huyu hapa! Nikawa nacheka nikamwambia ‘mambo’, nikamwambia nasikia umeondoka kwako kwaajili yangu? Akaanza kucheka, akaniambia ‘sio kweli mbona hakuna kitu kama hicho.’ Kwahiyo nikacheka kwa sababu mtu mwingine anaweza kucreate tu kitu kwa sababu tu hawajamuona Rose kwenye
0 comments: