Monday, November 30, 2015

Mafikizolo wamjibu shabiki mwenye hasira,kuhusu kufanyika kwa video yao na Diamond Platnumz,Dec 10

mafikizolo

Kundi la Mafikizolo kutoka Africa Kusini limethibitisha kuwa lina mpango wakufanya video ya collabo yao na Diamond Platnumz December 10 2015.
Uthibitisho huu umefanywa na msanii wa Mafikizolo ‘Nhlanhla Nciza’ baada ya kuulizwa na shabiki mwenye hasira kuhusu Collabo yao na Daimond Platnumz.
Diamond 1 Diamond 2

Author:

0 comments: