September 21 2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014.
Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo.
Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.
0 comments: