Friday, November 27, 2015

AJALI MBAYA YATOKEA GARI LAUNGUA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO




 jamani. Kuna gari T 185 AVT Toyota Salon, imeungua vibaya njia inayokwenda Kibaha kutoka Baobab Secondary School na kuna MTU ndani ameungua vibaya sana limebaki fuvu tu hata hatambuliki. Polisi Kibaha ndio wapo kwenye tukio. Sambaza ujumbe ili ndugu zake wapate taarifa. Imetokea usiku wa kuamkia Leo 27/11/2015

Author:

0 comments: