Friday, November 27, 2015

HABARI; Dereva mmoja huko Lubumbashi Congo ajimwagia petroli na kujiwasha moto






Dereva mmoja huko Lubumbashi Congo ajimwagia petroli na kujiwasha moto na kumng'ang'ania polisi waungue wote, polisi amefariki na dereva yuko hoi hospitali. Alifanya hivyo baada ya Polisi kumkamata

Author:

0 comments: