Ni the platnum tena kwenye headlines...jarida la AFRICAN MUZIK MAGAZINE limemtaja DIAMOND kuwa msanii bora zaidi ndani ya bara la africa mwaka 2015.
kutoka Tanzania mdada VANESA MDEE ameshika nafasi ya kumi na mbili
wakati DAVIDO amekuwa wa nne nyuma ya WIZKID na OLAMIDE.
0 comments: