Moja ya picha za video hiyo
Kwa wiki mbili sasa Jux amekuwa aki-tease picha (screenshot) za video ya wimbo huo, huku akiweka hashtag ‘ONE MORE NIGHT’ kuashiria ndio jina la wimbo.
Kwenye picha hizo ameandika captions hizi:
-Natamani tusingefanya I need #onemorenight
-Nilionja sijashiba #onemorenight #africanboy#somethingbigcoming
-Baby I need one more night #africanboy #onemorenight
Video mpya ya Jux ilishutiwa kipindi kimoja na ‘Never Ever’ ya Vanessa. Mwanzoni mwa mwezi September Jux na Vanessawalienda Afrika Kusini kushoot video hizo na director Justin Campos, na kushare baadhi ya picha za behind the Scene.
BTS: Director Justin Campos akiwa kwenye gari lililotumika kwenye video mpya ya Jux
0 comments: