Tangu wiki iliyopita kulikuwa na habari kuhusu ujauzito wa Jokate na Ali kiba akitajwa kama baba kijacho.baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kuhusu hilo.hatimaye amesema haya
`sitaki kuzungumzia maisha yangu ya mapenzi na sio kweli k nategemea kupata mtoto na jokate` Ali kiba alisema hayo katika mahojiano na kituo kimoja cha habari nchini TANZANIA
0 comments: