Kwa mujibu wa Mh Zitto Kabwe:
"Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni milioni 8 kwa mwezi, Posho ya
kujikimu kwa siku ni laki 120,000 kwa siku, kukaa kikao cha bungeni posho ni shilingi laki 200,000
Kwa siku, pia bado bado kuna fedha kwaajili ya mfuko wa jimbo ambayo ni milioni 46 lakini hii
hutegemeana na jimbo lenyewe na mbali na hapo kuna posho ya jimbo".
Nini maoni yako hapo?
Chanzo: East Africa Television (EATV)
0 comments: