Friday, November 27, 2015

Kasi ya Rais Mgufuli, mzigo wa thamani zaidi ya milioni 300 wakamatwa bandarini.


Kutokana na Kasi ya Rais Magufuli yenye motto wa HapaKaziTu, watendaji wa taasisi mbali mbali wameanza kuamka kwenye usingizi wa uzembe na kuanza kufanya kazi.

Makontena zaidi ya 30 yamekamatwa yakiwa mbioni kusafirishwa kwenda nchini China yakiwa na mzigo wa magogo kinyume na sheria za nchi.

Haijulikana makontena mengine mangapi yamesafirishwa kabla ya haya makontena kukamatwa.

It's a new dawn, new day and new life for business as usual!


Author:

0 comments: