Wednesday, November 25, 2015

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Awasweka Rumande Maofisa Ardhi 10 Kwa Masaa 6

Hatutaki uzembe awamu ya tano
Paul Makonda
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda leo amewaweka ndani kwa saa sita maofisa ardhi zaidi ya 10 huko Kawe baada ya kuchelewa kufika eneo walilokubaliana kukutana.

Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa hao  kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5.

Author:

0 comments: