Wednesday, November 25, 2015

MAAJABU YA DUNI;Mwafrica wa kiume aolewa Marekani

matatizo ya demokrasia kuzidi

Habari hii ni moja ya vielelezo vingi kuthibitisha ni kiasi gani tumefikia pabaya..Malezi ya mtoto wa kiume yamekuwa yenye tension kubwa siku hizi kuliko hata wa kike,na shida ni wazazi hawa wa .com parents have no time for their kids, nannys our nowadays mothers. a mom/dad doesn't know about her/his kid's home works, kid's favourite subject, the challenges a kid faces at school etc. only the nanny/houseboy knows well of the kid. there is no more parental guidance on some tv programs on wat to watch etc we say we living in a digital life. a son can take dad's car n gout with friends n come back late night without dad' asking. what do you think its the result?  Single parent families pia ni chanzo ..N hili swala la baba  Kushindwa kulea watoto wetu wa kiume kwa karibu katika misingi ya imani na maadili yanapelekea wao kupotea, Baba kama kichwa cha familia anatakiwa awe mfano, mtoto wa kiume akue akimwona baba yake kama role model wake.Sasa akina baba siku hizi ulevi 24/7, au wengine kuwa busy muda wote hadi inafikia watoto wa kiume wanakosa a reliable father figure to look up to,BADALA YAKE MA ROLE MODEL WAO WANAKUA NI HAWA WANAOWAONA KWENYE SOCIAL NETWORKS NA TV ..TOTO LINAKUA LIHUNI LIMALAYA TOKA UTOTONI na Social media ndio inachangia kwa kiasi kikubwa.na mbaya zaidi   Mashoga wa siku hizi wamekuja na approach mpya kabisa sio kipindi kile cha kina aunt mudi sijui aunt asu and the like, sasa hivi wako very sophisticated na wako makazini huko na wako very expensive. Wengi wao wakiishi maisha aghali kuliko vipato vyao halisia. Hii inaonesha kuwa kuna mkono mzito behind their gayism movement Vijana watoto wako hatarini kuiga tabia hii kwasababu mashoga wengi wa sasa wanajipenda na kuwa na muonekano wa kisasa kwasababu wanakuwa financed na mashoga ambao wana good financial influence. Sasa hii ni hatari maana kijana akiona hao mashoga wanavyoonekana wakitamani kuwa na muonekano na kipato hicho lazima wajikute wanadumbukia ktk ushoga. Kiujumla hali ni mbaya. Na mbaya zaidi hawa mashog wa network ya ajabu mnoooo. kuna hili swala la watoto wadogo kupelekwa boarding school  hili ni tatizo tabia nyingi mbya wanaajifunza huko  wanafundishana michezo mibaya na  waangalizi ni vigumu kujua coz hawapo karibu na Watoto mpaka kujua matatizo Ya ndani Ya mtoto.ni vyema kuhakikisha hupeleki mtoto boarding hadi UWE na uhakika umemlea Kiasi cha Kukua na kujielewa kijinsia .na hizi boarding schoolTumesoma shule hizo tumeona baadhi Ya Watoto wamejingiza kwenye makundi Ya bangi,pombe madawa Ya kulevya na mengine mengi wakidhani ndiyo ujanjaHAPA NDIO TULIPOFIKIA

Author:

0 comments: