Thursday, November 26, 2015

RIHANNA , YOUNG THUG KUTOKA NA NGOMA YA PAMOJA

Star wa kike wa muziki Duniani Rihanna na Star wa Hip hop Young Thug, wameingia studio pamoja ili kuulasimisha ‘mkwaju’ wa pamoja. 

Rihanna ambaye anatarajia kuachia album yake ijumaa hii, bila shaka ngoma hii haiwezi kujumuishwa kwenye album hiyo kwa kuwa tayari ni ‘too late’. 

Pengine wimbo huo utajumuishwa kwenye project inayofuata ya Young Thug, au itatoka kama pini la kujitegemea. 

Mmoja kati ya watu walio kwenye uongozi wa rapper huyo, alivujisha picha ya wawili hao wakiwa studio na kuipa ‘Caption’ ya ‘Thug na Riri in the studio, kitu kikubwa kinakuja’.

Author:

0 comments: