Kampuni ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP) na IPTL zimetoa
tahadhari kwa Bunge linaloanza leo kuepuka mgongano wa masilahi na
ukiukwaji wa Katiba ya nchi katika mjadala wa hoja ya sakata la Escrow
inayotarajiwa kuibuliwa upya na
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe.
Tangu mwaka 2013, Serikali kupitia Bunge ilikuwa imetekwa na mvutano
kuhusu uhalali wa kuchota Sh320 bilioni kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow,
katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Akaunti hiyo ilianzishwa kumaliza
mgogoro wa malipo kati ya IPTL na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) http://www.mwananchi.co.tz/…/…/3049326/-/qe6a31/-/index.html
Kampuni
ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP) na IPTL zimetoa tahadhari kwa
Bunge linaloanza leo kuepuka mgongano wa masilahi na ukiukwaji wa Katiba
ya nchi katika mjadala wa hoja ya sakata la
mwananchi.co.tz