Tuesday, January 26, 2016

SHILOLE NA LINAH WATOKA OUT NA MUME WA ZARI...

ni zadii ya wiki mbili sasa wasanii Shilole a.k.a Shishi baby pamoja na Linah wapo afrika kusini.Shilole yupo anaanda single yake mpya na Linah yupo kwa shudhuli zake binafsi.
 wasanii hawa walitoka out na mfanyabiashara Ivan semwaga ambaye ni baba watoto wa the boss lady Zari ambaye sasa yupo na DIAMOND PLATNUM.

Author: