Tazama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli alivyowasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam
kutoa heshima za mwisho katika kuuaga mwili wa Mchekeshaji mkongwe
nchini Tanzania, Mzee Majuto.
| 6:57 AM
0 comments: