Mwezi mmoja toka Jacqueline wolper atamke kuwa ni mjamzito (ambao bado haujapata uthibitisho-Ingia hapa), mrembo huyo wa Bongo movie amevishwa pete ya uchumba.
Kwa mujibu wa picha na maelezo aliyopost kwenye akaunti yake ya Instagram, Wolper sasa ni mchumba wa mtu.
Wolper alipost picha kadhaa akiwa na mchumba wake, na kuelezea picha kamili ilivyokuwa hadi kupata surprise hiyo ambayo hakuitarajia.
Baada ya maelezo hayo yaliyofatiwa na picha za tukio lenyewe, pongezi nyingi zimemwagika kutoka kwa followers wake. Hizi ni baadhi ya comments;
annietzdu: Nakupongeza kwa kutochukua mtu maarufu mungu awatangulie sana mtimize lengo lenu mmeendana sana
new_isha: Usiishie Pete ndoa fastaaa my nduguuuu love uuuu na unialike
mwezimbili: Hongera kaka kwan umembadilisha tabia Dada Jack.hususanani ktk mavazi Mungu amibariki.Dada Jack jitambue kuna ile SKU moja utakua mama hivyo basi heshima ndio nguzo pekee ktk masha hebu onyesha mfano.
beibycso: Aya akuoe ss mn asije akw bongo movie na yy. Me nshakataaga mambo ya pete n nini stak we njoo toa mahar nioe ful stop stak aibu mjn wanaume hawatabirikiiiii
hotkipepeo: All the best sina shaka na wewe hata ukifunga ndoa una vielement vya umama bora ukawe hvyo hvyo ruwa nakutarame
Tupe maoni yako hapo chini
0 comments: