Saturday, October 3, 2015

KAULI Ya kwanza ya Nay a mitego baada ya kuvamiwa na majamba

Baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Nay wa Mitego amefunguka haya

"Niaje watu wangu!? Siko poa siku nzima ya leo. Nilitaka nikae kimya nisiongee chochote but nimeona itakua si sahihi sababu naweza nikawa naendelea kufuga matatizo... Sipo Dar nina 2weeks.
Usiku wa kuamkia leo kuna watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwangu Kimara, walikua wamevaa Mask (Ninja) wakati wanahangaika kukata nyaya za fens alarm ikawa inapiga kila wakati. Wakaona wapande juu ya mstimu ili wakate umeme nyumba nzima ndo waingie, but Majilani zangu ndio wakaamua kutoka na kuwaitia kelele za mwizi.
Walifanikiwa kukimbia, walikua na gari aina ya LandCruser nyeusi but haikua na Plate Number.. Nashukuru Mungu familia yangu ipo salama na awakufanikiwa kutimiza walilotaka kufanya. Taarifa zipo Police tayari, Kama ni Wezi, Majambazi au Walitumwa all the best endeleeni.!! Nawapenda wote mnao nipenda ata mnaonichukia pia. Sote ni watoto wa bab

Author:

0 comments: