Monday, November 30, 2015

HATIMAYE SHEKHE PONDA AACHIWA HURU

mahakama ya hakim mkadhi ya morogoro imeamua kumuachia huru sheikh ponda baada ya mshtaki kushindwa kuleta ushahidi wa kina kuwa shehe ponda alitamka maneno ya kejeli na machafu kwa dini zingine zisizokuwa za kiislamu.

Author:

0 comments: